Japo ndoa ni ya wawili, inagusa jamii pana na ni muhimu, lakini maisha ya ndoa ni muhimu zaidi. Utaliona hili pale inapofana au kutofana. Leo tutaongelea utamaduni mbaya uliojaa ubinafsi. Tutaanza na ...
MAHAKAMA ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha maisha jela mkazi wa Kijiji cha Inalo wilayani humo, Isacka Ngwesa (49) kwa kosa la kumnajisi mtoto wa miaka minane. Shauri la kesi ...
“Tumesikitishwa na tunalaani sana tukio hilo. CCM mkoa wa Iringa ina imani serikali ina mkono mrefu, na kwamba wahusika watapatikana na sheria zitachukuliwa,” alisema Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Peter ...
Kuona picha ya Lawrence akiwa na kitabu hicho, ilinifanya nifikirie kuhusu uongozi wake na jinsi alivyogusa maisha yangu na ya wengi kwa muktadha wa masomo ya Sharma. Katika kitabu cha Sharma, kuna ...
Maisha ya kifahari ya Donald Trump yamemuwezesha kupata ... Wamezungukwa na viongozi wa dunia akiwemo Theresa May, waziri mkuu wa Uingereza, Emmanuel Macron, rais wa Ufaransa, Shinzo Abe, waziri ...
Mtawa mwenye miaka 92, ambaye alichukua kiapo cha ukimya, upweke na umasikini, amefariki katika nyumba ya watawa ambapo aliishi kwa miongo mitatu iliyopita - Licha ya kwamba simulizi ya maisha ya ...