Haijulikana ni kwa nini kipande hiki kimechaguliwa na watu wengi kuhusishwa kwenye vibonzo, lakini mara ya kwanza kilianza kuonekana kikiimbwa na mchungaji kutoka Uganda, Aloysius Bujingo wa kanisa la ...
Kabla ya uamuzi wake tayari sauti yake ilikuwepo masikioni mwa wengi bila kujulikana pale alipoingiza sauti za chini (back vocal) katika wimbo wa Diamond, Nikifa Kesho (2013) na WCB Wasafi, Jibebe ...
Kamati ya nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) imetupilia mbali rufaa ya Guinea dhidi ya Tanzania na hivyo kuipa uhakika Taifa Stars kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika (Afcon 2025) ...
Timu ya taifa ya Uganda wachezaji wa soka wakiume wasiozidi umri wa miaka 17 Uganda Cubs, imefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 baada ya ushindi wa mabao 4-1 dhidi ya ...
Abakoresha umupaka mushya wa Rwempasha/Kizinga uhuza u Rwanda na Uganda, barishimira ko wabafashije mu ngendo zabo bava cyangwa bajya mu bihugu byombi by'umwihariko muri iyi minsi mikuru isoza umwaka ...
ishara ya heshima kubwa kwa mchango wake kwenye sanaa na utamaduni wa taifa. Ziara ya Japan ilifungua milango mipya kwa Mzee Nyunyusa, na sifa zake zilisambaa kote ulimwenguni. Miongoni mwa watu ...
Wapo ambao mwaka umewaachia alama kwa kupigwa na rungu la Baraza la Sanaa Taifa (Basata). Kati ya wasanii walioguswa na rungu hilo kutokana na kukiuka baadhi ya miongozo ya Basata ni Nay wa Mitego, ...
Ajabu ni kwamba uamuzi huu unatoka kwa Mahakama ya Uhalifu wa Kimataifa nchini Uganda, mahakama ya kitaifa iliyoundwa kuhukumu uhalifu wa kivita. Tofauti na kesi ya Dominic Ongwen, kamanda ...