Waraka huo unataja maeneo mawili pekee ya Afrika katika sehemu ya Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara - Somaliland na Djibouti - na inapendekeza "kutambuliwa kwa serikali ya Somaliland kama mbadala ...
Kulingana na waraka huo, ikiwa Urusi au Iran itakabiliwa na "uchokozi," nchi nyingine haitatoa "msaada" wowote kwa nchi hiyo ya uchokozi. Hatua hii, hata hivyo, haisemi kuwa nchi zilizotia saini ...