Ukapewa jina ugali wa yanga. Ugali wa yanga ni moja ya masimulizi ya kipekee katika historia ya Tanzania, ambapo jina hili maarufu lilitokana na uhusiano wa rangi ya njano ya unga huo wa msaada ...
NAMNA ya kuendesha maisha katika uhalisi wa kawaida, ina hatua inayopanda hadi mamlaka ya nchi, serikali na mkuu wake, vyote vikimrahisishia maisha mkazi, pia viumbe vingine kadri inavyowezekana.
Kampuni ya KULR Technology Group kutoka California hivi karibuni iliingia katika soko la Bitcoin (BTC), ikinunua 217.18 BTC zenye thamani ya takriban dola milioni 21. Ununuzi huu wa Bitcoin tangazo ...
Kwa tafiti ya kuona tu, walio wengi asubuhi, mchana na jioni milo mikuu yao huwa haikosi vyakula vya wanga. Mfano wa vyakula vya wanga katika jamii yetu ni pamoja na unga wa mahindi (sembe au dona), ...
Wakati utajiri wa Rupert uliongezeka kwa dola bilioni 1.9 mwaka huu, Mnigeria huyo alishuka kwa dola bilioni 1.7, na kuwa na utajiri wa dola bilioni 13.4, kwa mujibu wa Bloomberg. BBC inakuletea ...
wa kwanza katika ulimwengu wa crypto na bilionea aliposukuma GOAT hadi mtaji wa soko wa zaidi ya dola bilioni 1. Kufuatia nyayo za ToT, zaidi ya mawakala 11,000 wamezinduliwa kwenye jukwaa ...
Rais wa zamani Jimmy Carter, mkulima wa karanga na gavana wa jimbo la Georgia kabla ya kuwa rais, amefariki akiwa na umri wa miaka 100. "Mtu wa kanuni" kwa mujibu wa Rais wa Marekani anayemaiza ...
Hali hii ilimlazimu Waziri Mkuu Narendra Modi kurudi nyuma juu ya ukombozi wa masoko ya kilimo. Lakini wakulima wengi huko Punjab - kikapu cha ngano nchini India - wanachukulia kupungua huku kuwa ...
Msemaji wa jeshi alisema waasi wa M23 walikuwa wakiwatumia vijana waliovalia sare za kijeshi za Rwanda katika maeneo ya vita. Na Abdalla Seif Dzungu & Asha Juma Chanzo cha picha, Reuters Kituo cha ...
Washington imetoa msaada wa dola bilioni 175 kwa Ukraine, ingawa kasi ya msaada huo haijulikani itakuwaje chini ya uongozi wa Trump, ambaye ameahidi kumaliza vita haraka. Nchini Moldova ...