Usijilaumu, unajiongezea msongo, hofu na matatizo ya akili. Kula kwa afya siyo kujaza tumbo kwa kubugia chochote ali mradi umekula. Mfano kujaza tumbo kwa ugali mkubwa na rojo la nyanya zilizoharibika ...