Wachezaji wa Yanga, Yao Kwasi na Denis Nkane. SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa ratiba kamili ya raundi ya tatu ya kombe la FA huku klabu za Simba na Yanga zikiwa hazijapangiwa ...
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye mechi za kimataifa, Yanga na Simba zimeonekana kukwepana kwenda pamoja nchini Algeria ... thabiti na kufanya maboresho ndani ya klabu yetu akishirikiana na viongozi ...
KIKOSI cha Simba kipo mjini Bukoba, mkoani Kagera kumalizana na wenyeji wao, Kagera Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini unaambiwa mabosi wa klabu hiyo wanapiga hesabu kali ya kuimarisha ...
YANGA jana ilikuwa uwanjani kumalizana na Mashujaa ya Kigoma katika Ligi Kuu Bara, lakini kuna jambo moja limefanyika kimya kimya ambalo kama taarifa hii itawafikia mashabiki wa klabu hiyo... GARI ...
Na Nora Damian, Mtanzania Digital Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri Ardhini (LATRA CCC) limewataka watoa huduma kuzingatia matakwa ya leseni zao ...