Hadi sasa tuna miaka minne na tunazalisha wastani wa tani 35 za samaki kwa mwezi, tunatarajia hadi Juni 2025 tufikie tani 100 kwa mwezi,” amesema Buzohera. Kwa mujibu wa meneja huyo, wana ekari 650 na ...
Ufanisi wa Banda umewadia chini ya mwezi baada ya kupokea tuzo ya BBC ya Mchezaji Bora wa kike wa mwaka. Mchezaji huyo aliye na umri wa miaka 24 pia alitajwa Mchezaji Bora katika ligi kuu ya ...
Ndani ya ndege kwenda Mwanza takribani miaka kumi nyuma, mmoja wa watu wa karibu na Makamu Mwenyekitiwa CHADEMA, Tundu Lissu, alimuuliza rafikiye kama ana mpango wowote wa kuwania nafasi ya juu ya ...
vyoo pamoja kuweka mnara wa taa utakaosaidia kuongoza vyombo vya usafiri majini nyakati za usiku katika ziwa Nyasa. Akizungumza na wananchi katika bandari ya Liuli,Njambe na Manda juzi, Mwenyekiti wa ...
Hija ni miongoni mwa maneno maarufu kwa waumini wa dini mbalimbali ikimaanisha ibada inayofanyika sehemu maalumu kwa ajili ya maungamo, kutubu, kuomba dua, kusali au kuabudu. Ibada hii inaweza ...
Pwani. Watanzania wametakiwa kulinda, kutunza amani na utulivu hasa kipindi cha kuelekea uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani utakaofanyika mwakani. Viongozi wa dini ya Kiislamu wametoa rai hiyo ...
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imekusanya Sh trilioni 2.47 Novemba mwaka huu ikiwa ni zaidi ya lengo la makusanyo kwa mwezi huo. Ofisa Mkuu wa Usimamizi wa Kodi TRA, Hamadi Mteri alisema hayo Dar es ...
Mabadiliko tunayoona hivi sasa baada ya kuanguka kwa utawala wa Assad yamekuwa ni makubwa, na bila shaka mabadiliko hayo ni fursa ya matumaini makubwa, lakini sote tunafahamu kuna changamoto nyingi ...
WATAALAM wa afya ya kinywa na meno kutoka nchi za Afrika Mashariki wametakiwa kuacha matumizi ya dawa yenye zebaki inayotumika kuziba meno, kwani ina madhara makubwa kwa afya ya watoto, wanawake ...