Ripoti hiyo ya haki za binadamu ya mwaka 2024, iliyotolewa Alhamisi wiki hii, imeorodhesha nchi kama Sudan na Kenya ... dhidi ya ubinadamu," na ukiukwaji mwingine wa sheria za kimataifa za kibinadamu.
Wakati mwingine, picha za kujipiga uso ... Kundi linalohariri picha kwa kutumia vikorombezo vya mitandao ni kama zile zinazolainisha ngozi, kunenepesha kope, na kufanya sura ionekane nyembamba.
Iwe mali au fedha kama huna anza sasa na uwe na nidhamu ya fedha. Wakati mwingine ... Mungu amekupa badala ya kuangalia zile ambazo huna mfano gari, nyumba, ardhi na fedha. Kama hujafanikiwa azimia ...
Aidha, Askofu mwingine wa kanisa hilo ... pamoja na uchaguzi mkuu ujao, wanamsihi Mungu ufanyike uchaguzi huru na wa haki. “Tufanye uchaguzi bila uvunjifu wa amani, tufanye uchaguzi kwa kumtumainia ...
Ukifanya jambo na mtoto wako na asipate funzo lolote, akatoka akiwa hajapata chochote, iwe amecheka au amenuna, basi kama mzazi umeshindwa kutimiza jukumu lako. Usitazamie vitu au mambo yasiyo halisia ...
Hakuna. Kulihitajika kuwa na ubunifu mbele ya msitu wa wachezaji ... Bahati nzuri kwetu tulikuwa na bahati ya kumuamini Chama hata kama hayupo katika ubora wake kwa sababu ana ubunifu mkubwa katika ...
Picha na Michael Matemanga Mwananchi limeshuhudia askari polisi wapatao sita wakiingia kwenye korido za ukumbi huo kupitia mlango mwingine na kwenda moja kwa moja nje ya uzio wa ukumbi kuwakamata ...