Mchanganuzi wa zamani wa programu za kompyuta kutoka India, Oscar Castellino sasa ameingilia sanaa na kuandika wimbo mpya ya sayari ya Mars. Castellino alipewa jukumu hilo la utunzi wa wimbo wa ...
Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir, amepiga marufuku mtu yeyote kuimba wimbo wa taifa bila uwepo wake, amesema waziri wa habari Michael Makuei ambaye pia ni msemaji wa serikali. Bw. Makuei ameliambia ...