Baadaye Zuckerbag aliekea katika hoteli ya Mama Oliech katika chakula cha mchana ambapo kwa mara ya kwanza alikula Ugali na Samaki. ''Swala muhimu ninapozuru taifa lolote jipya ni kujaribu kula ...
Naomba chipsi mayai, nikaangie kuku au leo tutakula ndizi za kukaanga ama samaki wa kukaanga na ugali', haya ndiyo maisha ya wananchi wengi wa Afrika Mashariki yanayohusu vyakula. Vyakula vingi ...