Miongo miwili mpaka mitano iliyopita Muziki wa mwambao 'taarabu' asili nchini Tanzania ulivuma na kuwapa majina makubwa wanamuziki wake. Mmoja wa wanamuziki hao ni mkongwe Patricia Hillary ...
Maryam Mohammed Hamdani anasema yeye ni mwanamke wa kwanza kupiga hadharani chombo cha muziki wa taarabu kijulikanacho kama Ganun. Muziki huo wa taarabu asili yake ni Zanzibar na maeneo ya pwani ...