Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam imewaamuru maafisa wa polisi kutomkamata Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) nchini Tanzania, Freeman Mbowe, hadi Ijumaa.
Polisi nchini Tanzania imesema kuwa mwanahabari wa Erick Kabendera aliyedaiwa kutoweka hakutekwa bali alikamatwa. Erick Kabendera anayeandikia magazeti ya ndani na nje ya Tanzania anadaiwa ...