Mkapa amekuwa akipokea matibabu katika hospitali moja jiji Dar es Salaam ... Mzee Mkapa alizaliwa Novemba 1938, Mkoani Mtwara kusini mwa Tanzania, na aliliongoza taifa hilo kwa mihula miwili ...